(a) English Courses (spoken and written)
(b)Computer Application.
(c) Computer Repair and Maintainance
(d) Entrepreneurship Skills (Ujasiliamali)
       -upambaji wa kumbi za sherehe na upambaji wa maharusi.
       -uchapishaji wa  mandiko mbalimbali kwenye Tisheti, matangazo
       - uchoraji wa maumbo mbalimbali na picha
       -utengenezaji wa batiki,
       -Utengenezaji wa sabuni za chooni, sabuni za miche, sabuni za maji NK.
       -Utengenezaji wa keki, chrips, karanga za mayai.
       -mafunzo ya malezi ya watoto (Baby care)
       - utengenezaji wa mikoba ya akina mama. kama vile pochi na mikoba ya kisasa.
       - utengenezaji wa mkaa asilia usio na moshi kwa kutumia karatasi na muhogo.
       - pia tunatoa mafunzo ya namna ya kuanzisha biashara na mbinu za utafutaji wa masoko ya bidhaa mbalimbali na ushauri wa kibiashara.


KWA MWENYE DIV 1-0, LA SABA NA HATA WEWE, HII INAKUHUSU;
Kozi zinazopendekezwa kwa mwezi huu ni:
1. Kozi ya ufundi simu pamoja na kuflash (ada sh. 300,000/=)
2. Kozi ya ususi na urembo (ada sh. 300,000/=).
3. Kozi ya ushonaji wa nguo (ada sh. 200,000/=)
4. Kozi yaKWA MWENYE DIV 1-0, LA SABA NA HATA WEWE, HII INAKUHUSU;
Kozi zinazopendekezwa kwa mwezi huu ni:
1. Kozi ya ufundi simu pamoja na kuflash (ada sh. 300,000/=)
2. Kozi ya ususi na urembo (ada sh. 300,000/=).
3. Kozi ya ushonaji wa nguo (ada sh. 200,000/=)
4. Kozi ya kuweka maandishi na picha kwenye nguo [tshirt/screen printing] (ada sh. 400,000/=)
5. Kozi ya kudizain na kutengeneza batiki (ada 350,000/=)
6. Kozi ya upambaji wa kumbi (ada sh. 400,000/=)
7. kozi ya mapishi ya keki aina zaidi ya 7 (ada sh. 350,000/=)
8. kozi ya utumiaji kompyuta (computer application) (ada 200,000/=)
UNARUHUSIWA KUSOMA KOZI ZAIDI YA MOJA KWA MUDA ULE ULE...(Piga simu upate maelezo zaidi)
kwa kozi zote, utasoma , ENGLISH, UJASIRIAMALI na HUDUMA KWA MTEJA (CUSTOMER CARE) bureeeeeeee
Hostel zipo kwa sh. Laki 1 kwa miez MITATU tu bila chakula. Hostel + chakula + chai ni sh. 360,000 kwa miezi mitatu.
MASOMO YATAANZA TAR 1/11/2016
Chukua fomu mapema hapa... morogorointernationalcollege.blogspot.com au njoo utajazia fomu chuoni na kuanza masomo mara moja.
CHUO KIPO, NANE-NANE ndani ya uwanja wa  maonesho ya  Nane-nane  wa mwalimu nyerere MOROGORO.
SIFA:
Kuanzia darasa la saba hadi chuo kikuu...wenye div iv au 0 pia wanakaribishwa.
TUNAFUNDISHA KWA VITENDO 80% NA NADHARIA 20%.
TUPIGIE/SMS SASA 0689606702 au 0658 327748
 kuweka maandishi na picha kwenye nguo [tshirt/screen printing] (ada sh. 400,000/=)
5. Kozi ya kudizain na kutengeneza batiki (ada 350,000/=)
6. Kozi ya upambaji wa kumbi (ada sh. 400,000/=)
7. kozi ya mapishi ya keki aina zaidi ya 7 (ada sh. 350,000/=)
8. kozi ya utumiaji kompyuta (computer application) (ada 200,000/=)
UNARUHUSIWA KUSOMA KOZI ZAIDI YA MOJA KWA MUDA ULE ULE...(Piga simu upate maelezo zaidi)
kwa kozi zote, utasoma , ENGLISH, UJASIRIAMALI na HUDUMA KWA MTEJA (CUSTOMER CARE) bureeeeeeee

Hostel zipo kwa sh. Laki 1 kwa miez MITATU tu bila chakula. Hostel + chakula + chai ni sh. 360,000 kwa miezi mitatu 


mafunzo haya yanatolewa asubuhi na jioni ili kukidhi mahitaji ya watu waliopo makazini.

Ada zetu ni nafuu sana, mafunzo yanachukua muda wa miezi mitatu hadi Sita kulingana na mahitaji ya mteja. Hostel zipo kwa wanaotoka nje ya Morogoro

kwa mawasiliano piga simu nambari 0689 606702, 0658 327748.

Maoni 2 :

  1. Nashukuru kwa kuwa mnafuatilia matangazo yetu, ila naomba niwashauri kitu muhimu kwenu na biashara yenu... unapocopy idea usipaste kila kitu ulichocopy....kwenye Tangazo lenu inaonesha mmecopy na ku-paste kila kitu, kuanzia kozi, ada mpaka tarehe (angalia www.facebook.com/JITAVTC katika Tangazo letu la Tarehe 12 Octoba 2016) na masomo yalikuwa yanaanza tarehe 1/11/2016... kutoka kwenye chuo chetu cha JITA VTC... Hofu yetu ni kuwa msije ku-copy na ku-paste JINA LA CHUO na NAMBA.... Ukitaka bishara yako iende BUNI WAZO LAKO au hata kama una copy, jaribu ku-copy na u-paste kwa uangalifu.... Ahsante, nafikiri mtarekebisha!
    BRIGHTON IGNAS
    MENEJA MASOKO-JITA VTC

    JibuFuta
  2. Kwa mwaka huu mnaanza intake ya kwanza mwez upi

    JibuFuta

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

MICEBS

MICEBS

Find Us On Facebook